Recent comments

Breaking News

BANNER 728X90

Matonya aachia video mpya – ‘Nifungulie’

Matonya awachia video mpya - ‘Nifungulie’

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, muimbaji wa Tanzania Matonya ameachia wimbo mpya uitwao Nifungulie.
Wimbo huu unamaudhui ya mapenzi na kwa mara ya kwanza ameambatanisha video ya kufurahisha macho. Matonya anasimulia mapenzi ambayo anaona awache baada ya kuumizwa sana na mpenzi wake.
Anaendelea kwa kumsihi mrembo wake amfungulie kwani amechoka kuumizwa na mapenzi haya yasiyo ya heri. Tazama wimbo huu hapa chini;

No comments